Habari za wakati huu ndugu zangu.
Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni...
Utangulizi
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka...
Utumishi tayari imeita vijana kwenye interview post: electrical technician II, kwa wale ambao tayari mnau zoefu na interview hizi mmeshawahi kuzifanya naomba tusaidiane kujuzana namna ya maswali...
upcountry Kitchen taste iliyopo Kibosho -mweka kilimanjaro inatangaza nafasi za kazi ya kuhudumia vinywaji na chakula ( service).
Waombaji wawe jinsia ya kike na wakazi wa Kilimanjaro au walio...
Napatikana kahama Nina bachelor degree, nimwalimu Bora wa kifaransa pia na kingereza. Kama munafahamu shule inayotafuta mwalimu wa kifaransa nipo nambari: 0767429275
Email: habonasalva@gmail.com...
Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza....
nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni...
Naombeni msaada mfano wa maswali kwenye written interview kwa waliowahi kufanya interview kama data analyst, pia system developer angalau tupate pa kuanzia
Ase hii mbona inachanganya sana? Yaani tarehe 27 mwezi huu nafanya wrriten interview za masomo mawili na muda ni huohuo.
Kwamba niachane na somo moja? Kwasababu napiga simu zao hazipokelewi.
Habari,
Ninakutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili niweke vyeti vilivyohakikiwa na mwanasheria kwenye Ajira Portal ambapo inanipelekea kushindwa kuchaguliwa ninapoomba kazi...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI October, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service...
Naomba kujuzwa mtu aliyeajiriwa kwenye shirika tajwa atalipwa Tshs ngap kwa TNPSS E & TNPSS F
Pia naomba kwa anaefaham scale za Ngorongoro kwa mtu mwenye degree ya IT ni kiasi gani?
Natanguliza...
Kuna mdau hatumii JF, kachaguliwa kwenda huko Iringa, ila kaniomba nimtangazie group lake kwa waliochaguliwa kwenda huko ili mshirikiane mawili matatu wasomi nyinyi. Jiunge moja kwa moja kupitia...
Job type: Full-time
Client Activation
Identify and activate new clients within the assigned territory.
Ensure proper onboarding and registration of clients.
Customer Complaints Handling...
Job type: Full-time
Job title: Medical Supplies Officer
Department: Medical Supplies
Report to: Medical supplies Manager.
Date: 24.10.2024.
Medical Supplies Officer Job Purpose.
Medical...
Habari wakuu,
Nilifanikiwa kupita kwenye interview ya kazi ya Junior HSE Officer na ninatakiwa kupeleka documents kadhaa siku ya kurepoti.
Mojawapo ya documents nilizoambiwa ni NSSF number...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.