Aliye tayari na hii kazi tafadhali nikuunge mimi narudi nyumbani.
Iko hivi, unaamka saa 10 usiku mnapelekwa shambani kila mfanyakazi anatakiwa ahudumie, kwa kuchimba mashimo 270 ya kupanda miti...
Mimi ni fundi wa umeme wa mitambo mbalimbali ya viwandani na majumbani,kama matanuru ya umeme ya kuyeyushia vyuma,kama ya viwanda vya nondo(INDUCTION FURNACES),OVERHEAD CRANES,MAMBO YA UYEYUSHAJI...
Kumekuwepo na changamoto kwa wahitimu kukataliwa kutuma maombi ya ajira kwa kupitia ajira portal.
Swali je wahitimu hawa wametelekezwa katika ajira au hawana vigezo, tumaomba ufafanuzi kutoka...
Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri
Mawasiliano 0624-137476
E-mail:faidhak6@gmail.com
Hellow members natumaini mko poa kabisa
_Kama kijana mtanzania ninae ipambania kesho yangu ,kijana wa kimaskini ambae natamani siku moja nifanikiwe pia niwe daraja la mafanikio kwawengine ila...
1/10/2024
VACANCY ANNOUCEMENT
WAJA HOSPITAL; is a private hospital located in Bombambili area 5km from Geita town along Mwanza road. The hospital was established in 2014 with registration number...
Natafuta wadada na wakaka wachapa kazi kwa ajiri ya kuuza juice mabibo sokoni.... Awe karibu na eneo ili asitumie nauli kubwa.
Mawasiliano: 0686263327 , 0678747553
Note: wawe wachapakazi na...
Habari humu ndani.
Naomba kujuzwa kwa wenye uzoefu na wanaojua maswali yanayoulizwa kwenye interview za AJIRA MSF.
Shirika hili kwa pale Liwale linajishughulisha na mradi wa Afya ya Mama na...
Dear Jamii Forum Community,
I hope this message finds you well. I am writing to share my story and seek support or guidance in my job search.
A few years ago, I had to put my education on hold...
WAKUU HUU UZI MAALUMU WA MAJOBLESS
Wakutiana Moto na kufarijiana kwa yote tunayopitia vile vile kupeana fursa na taarifa kuhusu utafutaji kazi
NIANZE NA MIMI
Huu mwezi wa pili tangia...
Habari zenu kwa mara nyingine tena ndugu zangu wa JamiiForums wote mko salama salimini.
Naitwa bina nina
Miakai: 29
Elimu: 7
Jinsia: Mwanaume
Natafuta kazi ya kusimamia shamba, kiwanja au...
Habari wana JF,
Naomba kujua kama kuna mtu alieomba nafasi za DSS Nmb akatumiwa email kwa ajili ya Aptitude test. Na pia kama kuna mtu alishawai kufanya aptitude test za nmb atusaidie muongozo.
Mwezi July 2024 serikali ilitangaza nafasi 726 za madaktari daraja la II , cha ajabu jana /juzi imetangaza madaktari wanaotakiwa kwenda kuchukua barua 45 tu.
Je serikali inafahusika ina maelezo...
Habari za mchana.
Natafuta kazi/shughuli hata koneksheni yoyote.
Hali ni haba upande wangu baada ya kumaliza masomo mwaka jana 2023
Umri: 23
Jinsia: Me
Elimu: Diploma in Procurement
Mkoa...
Wanajukwaa, muda mfupi uliopita Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametoa tangazo la kusitishwa kwa mchakato wa usaili wa ajira za ualimu hadi hapo itakapoarifiwa tofauti.
Aidha...
Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika Bwana!? Najua mko katika mahangaiko.
Natafuta kazi zozote katika ukanda wangu huu wa Kanda ya ziwa, Nina ujuzi aina mbalimbali kama kazi za nje...
Kwa wahititimu wote wa ualimu waliopewa mkopo asilimia 100 nashauri wangepewa nafasi ya kwanza pindi ajira zinapotangazwa kwani hii itaisadia serikali Kwa kiasi kikubwa kuanza kurejesha pesa zao...
Habari wadau,
Kwanza nianze kwa kutafakari kwanini shule za serikali haziongozi kwenye matokeo, kubali kataa sababu ni hizi.
1. Miundombinu na vifaa vya kufundishia.
2. Ufuatiliaji wa wanafunzi...
Habari
Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.