Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo
Chini ya Umri wa miaka 25
Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala
Awe...
Hello wadau,
Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi.
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie.
Asante
Kazi masaa 8 kwa siku, malipo 25,000/- kwa siku
ZINGATIA
*Uwe smart katika kazi
*Unaezingatia vipimo katika kukata na kuunda sababu vifaa tuvyounda hata mm 1 ikikosewa inaweza kipelekea hasara...
Nipo kibaha,mwanaume 27YRS
Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc)...
Wakuu natumaini mko poa.
Mimi ni graduate, jinsi Ke, nimemaliza mwaka 2022 degree ya Human Resource Management kwa ufaulu wa GPA ya 4.1.
Kabla ya kuhitimu nilishawahi kufanya practical training...
Ingia kwenye tovuti ya ajira utumishi kuona matokeo yako: Public Service Recruitment Secretariat | PSRS . Pia unaweza kupakuwa pdf attachment no.1 hapo chini kuona matokeo.
UPDATES: Matokeo ya...
Habari za weekend Wana JF.
Wanahitajika Nursing officer watatu.
Awe amesoma chuo cha Bugando au Muhimbili.
Tuma CV yako Kwa adamsfaida@gmail.com
WhatsApp +255620461297
Habari.
Utumishi walitangaza Ajira za afya karibia 9400 na tukafanya usaili mwezi uliopita.
Ila hawa jamaa wana ukakasi sana wameanza kutoa mikeka wiki hii ambalo mpaka sasa wamechukua kada kama...
Mimi ni kijana mwenye miaka 23
Ni muhitimu kutoka chuo cha Sokoine University of Agriculture(SUA)
Nina degree ya maswala ya Wildlife Management
Naomba ka yeyote mwenye nafasi tuwasiliane...
Wakuu mambo vpi? Huku kukosa kazi kunatifanya tuapply kila kazi tunayoiona, ni changamoto.
Niliapply kazi ya Data Entry Clerk katika kampuni inayoitwa Silverlief trading limited kupitia tovuti ya...
Sekretariet ya utumishi wa umma(PSRS) hawapokei simu.
Yaani sioni umuhimu wa wao kuweka namba za simu kama mtu unaweza kupiga kwa dakika 30 na haipokelewi.
Pia mfumo haukubali mabadiliko, mfano...
Wakuu samahani kidogo,
Naingia kwenye Ajira Portal lakini sioni sehemu ya list za majina lakini namba za interview nimepewa.
Je, hapo nitakuwa nimechaguliwa tayari au?
Kuna taasisi imetangaza nafasi ya ajira ssalary scale yao ni PTSS 10.1. sasa nataka kufahamu ni sh ngapi kabla sjaachia hii job niliyonayo isjekuwa hakuna utofauti na hapa nilipo msaada tafadhali
Habari wakuu,
Naomba kuuliza, hivi inawezekana kuhama kutoka taasisi ya umma kwenda Halmashauri? If no, why? If yes mchakato wake ukoje?
Naomba kuwasilisha.
Ahsante
Juzi kati ilikuwa inapita barua mtandaoni ya kutaarifu kuahirisshwa kwa usaili wa kada ya ualimu. Sa mtandaoni kwenye status ajira portal haipo haionekani taarifa hiyo.
Ukweli ukoje waungwana?
Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa.
Afya mpaka leo hakuna Pdf.
Je, kipi kiko nyuma ya haya?
1. Serikali haina Hela.
2. Utumishi wamelemewa.
.
.
Ajira kwa Sasa ni sawa na tatumzuka, ni uzalilishaji mtupu, kusoma kwa kutegemea kuajiriwa kunaongeza ufukara kwa wasomi, shahada saivi ni sawa na Bure.
Ni Bora mwanangu asomee kipaji chake na...
Je inawezekana kwa mwanafunzi wa chuo anayesoma akawa anajitolea kufanya kazi kwenye kampuni au taasisi nje na chuo anachosoma
Nini maoni yako na utaratibu wake ukoje, na ushuhuda kutoka kwa watu...
Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo;
1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni...
Habari wana JF.
samahani kwa kuwakimbizeni.
Short storyline.
Nimepambana sana na application's za kupambania nafasi za kazi, ila sijabahatika ziaidi ya mara tatu. Ni mbili tu(Online business)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.