Wakuu habari.
Mimi ni muuzaji wa mayai ya kisasa , nauza Kwa bei ya jumla.
Natafuta tender ya ku supply kwenye shule, hotels , dukani, kwenye malls , au popote pale.
Naweza ku supply Kwa idadi...
Wanahitajika walio na Diploma au Degree ya Kwanza ya Radiography haraka.
Wasilisha CV kupitia info@nyaishozicollege.ac.tz au tuma kwa Whatsapp 0745009792
Hello, Ndugu naomba msaada kidogo, Mimi pia ni mala yangu ya kwanza kufanya application ajira portal kada ya MSAIDIZI WA HESABU II, maswali yangu ni:-
1. Majina yangu ya cheti cha kuzaliwa ni...
Habarini ndugu..shikamooni wakubwa ! Natafuta kazi nina diploma ya pharmacy na pia nimesajiliwa na baraza la famasi.
Mimi ni binti nina umri wa miaka 24,naishi Dar es salaam. 0710293470
Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu...
Nimefungua uzi huu kwa ajili ya kupata shuhuda za wale waliofanikiwa kutoboa kwenye interview ya kwanza tu hapo PRSR. Watie moyo watu ambao wameonekana kukata tamaa!! Waeleze walijiandaaje hata...
Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.
I hold this qualifications.
Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.
Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni...
Nitatolea mfano halisi ambao nimekutana nao mimi:-
Kuna kijana mmoja alijitangaza mtandaoni anatafuta kazi, amehitimu mwaka juzi kwenye mambo ya IT.
Katika kumuhoji kweli, ikaonekana ana shida...
Yani mtu kahitimu chuo ana miaka 6 ama 5 anaenda kufanya interview na watoto aliowafundisha shule kipindi yupo field ama aliowaacha shule muda mrefu
Yani mtoto kamaliza juzi chuo anaenda kula...
Habari ya wakati wadau wa JamiiForums.
Naitwa Godfrey Chuma, natafuta kazi yeyote mahali popote ilimradi tu nipate kitu cha kuweka mdomoni. Iwe viwandani, kwenye makampuni au hata kwa mtu binafsi...
Wakuu habari ya uzima,
Nina imani mnaendelea salama na kwa wale mnaopitia changamoto kama kuumwa na n.k Mungu awaguse mpate kupona.
Najua mtandao huu umefanyika baraka kwa watu wengi Sana...
Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu.
Tusaidiane ili tupate kazi wote...
kwema humu?
kwa dunia ya sasa kupata kitu mpaka utoe kitu wazee.
ukihitaji kazi huyo aliekuunganisha kwenye hiyo kazi kama ya mshahara wa laki 2 kwa mwezi basi na yeye utakuwa unamkutia elfu...
Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli...
Habari zenu wana Jukwaa, kijana wenu nina uhitaji wa msimamizi wa shughuli zote za shamba, kuanzia kilimo mpaka usalama wa shamba. Shamba liko Mkuranga, Kimanzichana eneo lina Ekari 6, kilimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.