Wakuu nina tatizo na hii application, kila niiweka serial number za crack inaniambia ni fake. wiki kama mbili zikizopita niliinstall na kuitumia...
Je nitasolve vipi hili tatizo? Kuna application...
nina ofisi ya stationary ambapo huwa natenganeza b-cards na id pamoja na vipeperushi ila nimekwama naomba nisaidiwe serial no.za adobe cs3 master collection,nina set up zake lkn nimekwama hapo na...
sijui kama nimeeleweka
mimi ni mtumiaji wa wordpress.hivi karibuni nimetengeneza website yangu mwenyewe from scratch sasa..napenda nipate code kutoka katika page yangu ya wordpress ambayo itabeba...
Tembele hii link hapo chini; [Guide] Decompile with Apk Tool [Easy Way] - xda-developers
Fuata maelekezo vizuri utaweza ku decompile android application ili ujue namna gani zilivyotengenezwa...
Unpaid Item Policy
Committing to buying items and not paying for them will eventually have negative effects on your account. We highly advice you to pay for an item once you have...
Habari za saa hii wakuu. Natafuta mtaalamu wa kunisetia dish langu la Dstv. Ukiwa na contact ya mtaalamu pia si vibaya ukituunganisha. Nipo jijini mwanza. Ni-pm kwa mazungumzo zaidi.
Poleni kwa Kazi wana Teck
Bila kupoteza muda ,nimekuwa nikisoma baadhi ya topic kuhusiana na kuroot hizi simu za android na nimeamua na mimi niiroot simu yangu.
Naomba msaada kwa mtu anayejua...
Kampuni ya OnePlus ambayo ina muungano na Cyanogen,watengenezaji maarufu wa Custom ROM's iliyozinduliwa mwaka jana imetoa simu yake ya kwanza ikiwa na specifications kubwa zaidi kwa bei nafuu...
Ujinga mtaji, na na wajinga hua wanaliwa siku zote.. Kwa watumiaji Facebook napenda kutoa somo baadhi ya vitu wasivovifahamu kuhusu Facebok ambavyo inatakiwa kuvijua...
1. Kila picha unayopost...
mambo vipi wakuu
naombeni msaada kwenye sms nikitaka kutuma inaniandikia enter senders name.
nimejitahidi kurekebisha lakini sijafanikiwa,mwenye kujua tafadhali anijuze
Hii ni kwa Windows 8 pekee sijajaribu na version nyingine(sijasema haiwezekani)
1. Run CMD as admin
2. run the following command in order:
-netsh wlan set hostednetwork mode=allow
-netsh wlan set...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.