msaada watalamu lumia 520 haionyeshi kitu kwenye screen ila inawaka nikipa inaita nimejaribu kureset both hard reset na soft reset imegoma msaada kwa watalamu
Tatizo la umeme Tanzania ishakua ka wimbo wa "maua mazuri yapendeza"
Swali langu, ni nini kinachozuia Tanzania isitumie nuclear energy kuendesha shughuli zote zinazohusika na energy? Kuna article...
O.S-Operating system
Laptop yangu inayo O.S ya windows 7, kwa O.S hii peke onawza kutumia O.S nyingine kama ubuntu, windows xp .windows 8 n.k binafsi mi natumia O.S ya kali linux
ili uweze...
Laptop yangu imegoma kuwaka,nikiwasha inakuwa ina nguruma kama feni inayozunguka kwa mbali but haidisplay kitu chochote kwenye screen.
But kabla haija goma kuwaka ilikuwa ikistack baada ya...
Hello Readers,
I would like to start by acknowledging the fact that we can't fight against technology, we just have to adopt and make a good use of it.
In recent years we have experienced rapid...
kila siku teknologia inazidi kukua.je kuna mahali naweza pata kujua ni teknologia gani zipo juu kwa sasa
mf. teknologia ya kufungua baadhi ya apps katika simu kwa kupepesa macho tu.hii ipo ktk...
Wakuu habari ya kwenu!
nina sim ya huawei Y300 0151, majuzi tuu ilikuwa inafunction vizuri tu gafla Watsup ikawa hairespond, nikauliza wataalam wakanishauri kufanya yafuatayo!
Unaweza kutatua...
Microsoft has taken heat every time it tried to end support for Windows XP, but finally almost 13 years after it was released, Microsoft has flipped the switch and stopped delivering system...
Nilikua naomba msaada wa kimawazo Mimi in kijana nataka kuazisha biashara hapa mtaani kwangu na biashara nayotaka kuanza nayo vifaa vya simu na laptop ila Sana Sana vifaa vya simu Kama unavyo jua...
Wadau leo nimebonyeza *149*44# kwenye laini yangu ya Tigo nikakopeshwa 512MB
sasa sielewi ntatakiwa kulipa kiasi gani ili kumaliza deni ! Hili la MB
msaada please !
msaada kwa waliowahi kutumia ALIEXPRESS.. nitawezaje ku- Import hii kitu hapa kwenye link..
3G Tablet PC Phone Call GPS Bluetooth FM WIFI Dual Camera 1024*600 HD-in Tablet PCs from Electronics...
Online marketplace eBay is forcing users to change their passwords after a cyber-attack compromised its systems.
The US firm said a database had been hacked between late February and early...
Naombeni mnisaidie jinsi mnavyofanya mfano mtu kapost thread yake halafu mtu anareply lakini maneno ya post ya kwanza yanajitokeza yakiwa na kwe kivuli chenye rangi.Kama bandugu tupeane maujuzi...
Habari zenu wana jf leo nimeandaa beat turtorial hapo..
kwa turtorial nyingine za kitanzania subscribe kwenye channel yangu ya youtube
angalia hapa
turtorla by wiz cassa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.