Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kuna wakati tiGO wananifurahishaaaa, hebu ona leo hapo kwenye kaduara kekundu hadi raha jamani mweh!
3 Reactions
120 Replies
16K Views
huawei E173 modem haitambui simcard ya mtandao wa bol / smart ukifanya manually registration unaona mitandao mingine..nimejaribu kubadili dashboard bado imekataa.
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Kwa wale wanaopenda hii kitu - https://play.google.com/store/apps/details?id=appplus.mobi.lockdownpro
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kila ninapo katiza kwenye mitaa nakutana na neno "monster Kwenye Magari Na Pikipiki " naomba kujua kuhusu hili!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jameni nimepewa hii kitu ila iko locken kwenye mtandao wa mtn uganda, nataka kuianlock ili niitumie na mtandao unaotoa huduma kwa bei nafuu hivyo naomba msaada 1. To unlock it. 2. Wapi naweza pata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu heshima yenu. napenda sana picha na hakuna siku sipiti jukwaa la picha ila sijawahi kuweka picha hata moja. hii simu yangu inaweza kutuma picha kwenda support@jamii forum ila sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nitatumia mbinu gani ili niweze punguza au ondoa kabisa uwezo wa mtu kudownload Large files (say >40MB) kutoka katika internet na kuruhusu file ndogondogo (kama vile attachments za email, Docs...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Greetings, We offer Free Web Hosting with no advertising, there is no catch, so what you see is what you get. Here is our offer to you: 1500 MB Disk Space 100,000 MB Bandwidth Free Subdomain...
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Habari wanajamii, Naomba kujuzwa, kuna tatizo la kiufundi na hawa jamaa au maana kinga'muzi changu kimekata hakioneshi chochote zaidi ya no signal.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wadau, mimi ninapenda sana kufahamu zaidi kompyuta kama hobi, naomba nifahamishwe sehemu ambapo naweza kusoma kozi kama Graphics designing, Website design and development, na kozi nyingine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
dear i have purchased nokia lumia 1020. i have tried to download whatsapp but it says "not supported". Unable to find WhatsApp on the Nokia store + I cannot install it manually, it says...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa wale mnao tumia X2-02 Sasa mnaweza kutumia whatsApp ingia hapa www.9apps.com alafu ukishaingia search whatsApp zitakuja result mbili moja ni WhatsApp for S40 hii haikuhusu we download ya chini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele, miye mwenzen nimekwama. Nina Azam tv lakin ina setellite 1 tu. Nimepata kusikia kuwa inawezekana kuogeza setellite na hivyo kujipatia Chanel zaid. NAomba msaada wenu namna ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Et kat ya tecno phantom A+ na tecno zingine zipi ni bora
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tanzania's University of Dodoma (UDOM) will soon start making software which is to be used for Microsoft platforms such as Windows as well as Nokia mobile phones, an official said on Sunday...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Rafiki amenitumia Apple Ipad ila haina option ya kuingiza vocha kwenye laini ya simu, namaanisha SIM APPLICATION. Msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
In a world run by Internet connectivity for all aspects of life, from efficient work operations and management to social networking connections, it is no surprise that information is the...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
nataka kupost mp3 watu waweze kustream kwenye post yangu, nimeona option ya JFPM3 sijui inafanyaje kazi, au kama kunanjia nyingine naombeni mnielekeze
0 Reactions
0 Replies
558 Views
As one of the larger Apple-Samsung court cases wraps up, it appears the next big battle for mobile computing supremacy might take place in the laboratory instead. While Apple has historically led...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
-Mwenye kujua gharama na Apps zake anijuze tafadhari
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Back
Top Bottom