Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu, msaada kwa wenye utaalam wa kuuza GB kuanzia 8 kwa unafuu! kuna softwares nazihitaji lakini sina uwezo wa kununua bundle za mitandao yetu!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo asubuhi kuna mtu aliingia na kutumia password na kuingia katika email yangu akidai pesa kwa kutumia signature yangu. Ameingia hadi katika sent items na kufuta zoote kiasi kwamba siwezi tena...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau habari ya mchana, nimeconnect simu yangu kwenye Pc yenye virus kilichotokea nilipoichoa imefuta files zote na application zote hazifanyi kazi, na kwenye memory kuna data muhimu sana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kuna best yangu ana apple ipad 4 amesahau password je kuna njia ya kuiformat au njia gani afanye kuifungua,c mjanja sana wa ipad na hata mimi c mzoefu nazo.Ahsante
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu wana JF. Naomba kufahamishwa maana ya taa zenye rangi mbalimbali zilizopo kwenye baadhi ya mafriji. Nini maana ya taa yenye rangi ya kijani,njano na nyekundu. Pia alama ya nyota moja kwenye...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Msaada anaejua njia nyengne mbadala ya kuapgrade firmware ya huawei y300 androids. Automatic upgrade imefeli.assist plz
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau samahan naomba kujua bei ya taa ya projector aina ya NEC....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kunahizi Icon, huwa zinatokea ktk majina na mwonekano tofauti lakini kazi moja. Utata wangu ni ipi inatokea ktk original au ni ipi ni ya ukweli inayotambulika na Apple na ni ipi nzuri kutumia na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mafundi wazoefu na matechinician naomba kufahamu aina za flat tv ambazo zina ubora kuliko zote na bei zake plz! Asanteni
0 Reactions
11 Replies
11K Views
mwanzo ilikuwa safi,ila kuanzia juzi modem ikichomekwa kwenye port inatoa ishara kuwa imekubali kwa kuwaka taa yake Ila kwenye screen haionekani.tatizo nini wadau? na net sipati
0 Reactions
2 Replies
900 Views
:cool: Here in this post I will try to give you every possible information to hide the IP address. If you seriously want...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hard drive yangu ambayo ni main kwenye laptop yangu imepunguza storage. Zamani ilikuwa inasoma 120 gb lakini sasa hivi inasoma 75 gb. Mwenye kujua sababu anisaidie.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Msaada jaman jins ya kufunga ting decoder..(degrees na frequances)
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wakuu?? Kuna mtu alipotelewa na simu jana, mbaya zaidi aliyoiiba anatumia simu hiyo kwa ajili ya kuwatumia watu message na kuwaomba pesa, ameshawatapeli baadhi, yaan anachofanya anaomba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa Nina tatizo na HTC yangu inatumia windows os yaan haitumi chochote kwa Bluetooth wala huwezi kudownload music unless ni ndani ya whatsapp. Naombeni msaada mwenye solution ya hili.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu nahitaji hyo kitu haraka Sana maana yangu imeibiwa na nna kazi ya kufanya haraka. kwa anayejuwa wapi naeza pata anijulishe plz. thanx
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Wakuu kwa yoyote mwenye Details za makampuni ya Satelites za Tv duniani Naombeni mnijuze kuhusu kampuni ya Satlink Communications..is it Genuine or..ndio cheche
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Wakuu natumia simu nokia E71 naomba kuelekezwa kama naweza kupata Jf app kwa ajili ya hii simu yangu hapa Jf!! Pia naomba kuelekezwa namna ya kuweka picha Jf,.!! Natanguliza shukrani mkuu
0 Reactions
0 Replies
992 Views
The EU's top court ruled Tuesday (today) that individuals have the right to ask Internet giant Google to delete personal data produced by its ubiquitous search engine. The European Court of...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Waungwana naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kuunganisha samsung galaxy s5 ili niweze kufurahia internet, ASANTENI WAUNGWANA
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Back
Top Bottom