Naomba msaada wa Mawazo ,Nimenunua simu hiyo baada ya kuichaji masaa 4,nikaitoa na kanza kuitumia,
Kilicho tokea baada ya kama saa moja ikajizima,
Kurudi Dukani nilipo uziwa sijapata msaada...
Unaweza kubadili mtazamo (appearance) wa iPhone yako kwa kubadili rangi kama utapenda.
Nenda Settings kisha General, kwenye General tafuta Accessibility.
Hapo penye Accessibility pana Invert...
wadau naomba msaada wenu,mwanzoni nilikuwa natumia iOs 5 kwenye ipad apple ipad) speed yake ilikuwa nzuri sana ila tu baadhi ya applications sikuweza kudownload au kutumia,ikanibidi ni update to...
Habari zenu wakuu, nimesikia watu wengi hasa mafundi wakisema gari zenye engine za D-4 sio nzuri, ni kweli? na mbona kila nikiangalia mtandao naona engine nyingi za sasa ni D-4. Je nifanyeje...
Habari za saa hizi ndugu zangu,naomba munisaidie jinsi yakufuta whatsapp kwenye nokia Asha 311 nmeshajaribu mpaka nmechoka nw bila solution bcs imeexpire nkiupgrade feedback inakuja service nt...
habari zenu wana jamvi..
leo katika kuwasha computer nikafungua program Huawei Modem unlocker nikakutana na hiyo error ya microsoft.NET framework
then inaandika Click Quit to close immediately...
Nimetengeneza Emotional Hip hop BEAT yenye elements za Trap kidogo...
Unaweza isikiza hapo na kudownload FLP yake hapo chini....
-UNAHITAJI:
EDIROL ORCHESTRAL VST
PURITY VST
..........
Enjoy
Nina mini laptop yangu ndogo ni DELL haisomi flash disk zote port zote hazidetect kitu ila inafanya kazi vizuri sasa sijui tatizo ni software ama ni hardware.
Msaada wadau!
nina video zangu nimetupia kwenye youtube na zina waangaliaji wengi ila sielewi jinsi ya kuomba na kupata adsense kwa youtube video ... naomba msaada wenu
Habar wadau!? Naomba kujua utofauti uliopo kwenye hizi quality HD za Picha/Video. Je ipi ni latest na inayo toa Picha nzuri zaidi ya Mwenzie!?
Nawakilisha kwenu kwa uchambuzi yakinifu.
Thanks.
Wadau, pamoja na thread nyingi zilizo ndani ya jukwaa hili kuhusu ku unlock modem, nimezifuatilia lakini zimefail kufanyakazi. Modem ni huawei e153 (Tigo).
Ninatumia huawei ascend y200 napenda sana games lakini kila game ninayodownload haikubali nimejaribu Dead trigger, fifa14. ASault team na mengine mengi na yote hayakubali nifanyeje? kwa anayejua...
mwenye uzoefu wa kutengeneza spika boxes, nadhan atanisaidia kwa hili, ingawa mimi nachonga spika ndogo ndogo kama za sub woofer. Mfano upana 35cm, urefu 45cm, na depth ni 50cm, iyo ndo kipimo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.