Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
poleni na shuguli.mimi natumia hp elitebook.tatizo juzi nilikuwa nikiwasha inaniambia window 32 file miss.restart. kila nikirestart ola.saaa leo haiwaki..inaishia kuwaka taa ya power na feni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
WanaJF naomba msaada kwa yeyote ambaye anafahamu contact au kujua mahali alipo mjasiriamali mmoja huko kigamboni au popote anayejishughulisha na kilmo kwa teknolojia ya kutumia greenhouse.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msaada wataalam na wazoefu. Ipi model nzuri ya flat screen Tv na specification zake. nataka kununua ya inchi 32.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari wanajanvi,ninasimu yangu ni Samsung captivate glide sgh-1927,kuna muda inapata joto sana inapokua chaj,hasa Kwenye battery na upande wa camera kwa nyuma,sometime pia nikiingia ktk internet...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu kama kuna mtu anaweza nisaidia kuipata hii anijulishe maana hapa iringa nmetafuta cjaipata
1 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu naomba kujua bei halisi ya hii simu mpya na uimara wake. nimetokea kuipenda hii simu. naamini nitapata majibu soon ili inisaidie kufanya maamuzi soon.
0 Reactions
0 Replies
773 Views
kuna tetesi kua facebook acc. haziwezi kuwa hackes is t true
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani ninaomba msaada wa internet nafuu, kwa sababu kila siku natumia sio chini ya shiling 2000 kununua kwa voda na matumizi yangu ni karibu 500 kwa siku nashindwa kuendesha blog yangu... naomba...
0 Reactions
2 Replies
801 Views
Guyz natatzo la touch kwenye cm yangu LG LTE...NTAMPATA WAPI FUNDI MZURI NA MWENYE KUJUA BEI YA TOUCH ...TAFADHAL MAANA KASIMU KANGU KAMENIRUDISHA NYUMA SANA...MSAADA PLZ
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Habari zenu jaman nilikuwa naomba msaada kuhusu memory card yangu..... Ni mpya nimenunua 8 GB..firstly ilikuwa nikiweka kwenye simu inaandika memory card damaged try to format it.... Baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hbr zenu wakuu,kuna apps nazitumia ktk tecno p5 ila ctaki ziwe displayed ktk menu screen,je nitumie app gan wakuu
0 Reactions
1 Replies
934 Views
habar wakuu mimi npo chuo kimoja hapa tz sasa tumewelewa wirelees internet sasa signal strength zake ni ndogo mnoo mpaka sis wa floor za juu hatupati kabisa,sasa wajuu nitumie njia gani kuongeza...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Jamani nimekuwa nikitafuta Nba for ps3, na nimezikosa kwa yeyote anayejua yanapouzwa naomba anielekeze, itakuwa vizuri kama atatataja na bei yake pia!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau ! Airtel Nao wameona watoe Whatsapp, Facebook pamoja na Tweeter Bure ! Lakini hii haimaanishi utaweza ku access ukiwa hauna Salio (kifurushi cha yatosha) Tofauti na walivyofanya...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
wakuu naombeni msinichoke maana hii cm yng ina matatizo meng na sina pa kukimbilia zaidi ya humu,sasa leo nimekuja na tatzo hlo naomben sana mnisaidie yan mtu akinitxt kwa mfano saa 6 bas itafika...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
hbar zenu ndugu,hv kwnn inakuwa hvy?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mara nyingi nimekuwa nikiona au kusikia watu wanasoma nje ya nchi katika fani mbalimbali mfano udaktari, uhandisi, sheria nk. Swali langu ni kwa hawa wanaosomea sheria huwa wanasoma sheria za nchi...
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Wakuu salama? Nisaidieni niko na gari Hyunday Getz ya 2006, manual trans, imepata shida baada ya kubadili battery radio ikalock na iko kama hii picha hapa Codes za kwenye manual zipo ila sijajua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
All secret codes of SAMSUNG mobile phoneall secret codes of SAMSUNG mobile phone. you can break your samsung mobile phone passwords & privet lock, reset your phone, and anything you do manually...
3 Reactions
9 Replies
84K Views
How to disappear on the internet (Infographic) By DNA | December 12, 2013 8 Comments Infographic Design Agency | Data Visualisation | Neomam Source /...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Back
Top Bottom