Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Today, more and more service providers have started to realize the importance of encryption of online communication. They are working on certain technologies for the protection of these...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
is there a phone with hologram
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Anayeweza kufanya kazi hiyo hapo juu anambie na gharama nimtafte kwa Dar. nimeelekezwa hamna kitu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada wa kuflash simu tajwa hapo juu, naomba mwenye ujuzi wa hii kitu anisaidie.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wadau naomba kuuliza hivi tanzania kuna kampuni ya USPS? na kama ipo ofisi zao kwa hapa dar zipo maeneo gani? kuna BIDS nimeshinda so nimeona kwenye invoice wameandika kuwa wata fanya shipping...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za jioni ndugu na poleni na majukumu,mimi natumia Nokia Asha 311,tatzo nilikuwa natumia huduma ya whatsapp but chakushangaza jana imenizingua na kila nikiingia whatsapp inaonyesha neno...
0 Reactions
8 Replies
990 Views
Wakuu katika jukwaa hili tafadhali naomba kuelewa juu ya hii biashara na huduma ya visimbusi vinavyotangazwa na baadhi ya wanajamii humu kwamba kupitia visimbusi hivyo unapata dstv, zuku...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF, Niko kwenye mchakato wa kutafuta inverter ya kutoka dc kwenda ac ya watt 3000 yenye kuchukua voti 12 za dc na kutoa 220 za ac. Najaribu kutafuta kwenye mitandao ili nipate hasa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
wadau salam zenu,nahitaji kujuzwa model ya simu hapo juu kama ipo.
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Hbr za wknd wana jf wa tech...mm nina kasimu kang ka galaxy mega 6.3 afu kwa jins ninavyoona mm niki root simu yang kuna fiada kadhaa na hasara kadhaa...embu nijuzen faida na hasara ya ku root...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Niajeee wadau..Ebhana ninatumia simu ya galaxy S advance ila daah saivi naona inanipa kero mnoo..Iko very Slow.kila mda ina stuck.Mwanzon nilidhani labda ni application nyingi nilizonazo ila nime...
0 Reactions
2 Replies
681 Views
ndugu zangu naomba m2 anaewez kuunganisha simu ili mtu akimpigia rafiki yangu nami nimsikie kupitia cmu yangu naomba anisaidie coz kuna jamaa nataka niwe nazipata cmu zinazoingia kwake via my...
0 Reactions
26 Replies
12K Views
Ndugu zangu wana Jf naomba msaada simu yangu ya android ilizima ghafla sasa ina waka inaonyesha logo ya android tu yaani hakuna software wala app inayoonekana je tatizo nini na je naweza kulitatua?
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Habari za jioni. Kuna wakati ambao mtu unakua una media file (video/audio) ambayo ungependa uitumie katika simu, dvd player na portable media players. Hapo ndipo wataalamu walipata idea ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Anayehitaji spare parts za samsung galaxy note 2 nauza simu 250000 imecorrupt emmc (memory partition) vingine vyote vinafanya kazi. Kioo hakina hata scratch always under screen protector. Unaweza...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Leo nmepteza siku nzima narudishiwa transanctions zangu zote na tigopesa baada ya maxicom kushindwa kuhandle miamala na kusababisha pesa kutokufika sehemu husika , hili nilijibiwa na watu wa tigo...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
kwa yoyote anayefahamu maduka yenye hii simu ya tecno d1, naomba anisaidie kunifahamisha.nimejaribu maduka ya kkoo kwa kadiri ya ufahamu wangu sijaiona.
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Wanajamvii naombeniii mnielekezee jinsi ya kutumia finger print kwenye laptop aina ya hp probook 4530s!! Nimedownload drives zake lakini hata siielewi bado!
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Mnaodisi simu za tecno kuwa zinatumia machip cheap ya Mediatek mbona hamsemi kuhusu kuhusu tecno p3 inayotumia Qualcomm SoC ikiwa na MSM7225AB cpu, adreno 200 gpu? Pamoja na kuwa na chip hii...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
HAWA JAMAA WA KIRUSI http://torrent-tv.ru NOUMA KWELI KWELI WAMEACHIA DUDE LA KIMATAIFA (ONLINE TORRENT TV) LENYE ZAIDI YA CHANNEL 200 FOR FREE TENA UNAZIPATA CHANNEL ZAO ZOTE WALIZO ZILIST...
9 Reactions
59 Replies
9K Views
Back
Top Bottom