Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Et window 8 huwa inakuwa na wireless driver zake na je naweza kuzpataje
0 Reactions
2 Replies
791 Views
wakuu madude yashachukuliwa na wanaohusika nayo so sitojibu pm zinazoulizia madude. ila wale nilioshare nao kama mmepata njia nyingine za kupitia mabasi msisite kunipa pande
1 Reactions
110 Replies
9K Views
wakuu naombeni msaada natafuta drivers (synaptics) za laptop yangu aina ya toshiba satelite c-850
0 Reactions
1 Replies
770 Views
HABARI naomba nisaidiwe duka ambalo naweza kupata desktop mpya kwa bei nzuri hapa DAR natanguliza shukurani
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama unahitaji Reg. Keys za apps zifuatazo kwa ajili ya S60v3 symbian phones weka IMEI ya simu yako, baadae nikiwa free nitawatumia 1. LCG Jukebox 2. Power movie 3. Quickoffice 4. OfficeSuite...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Baada ya kufanya uchunguzi kwa Muda Mrefu kuhusiana na Simu ipi ya Android ni bora na yenye Ufanisi, nkagundua kuwa LG G2 ndio simu inayoongoza kwa ubora na Ufanisi Duniani japo watu wengi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jamvi; Naomba mnisaidie nimenunua Ipad Apple sasa kila ninapocreate Apple ID nafanikiwa ila nikilog in kwa kuitumia hiyo ID kwenye inakataa, naomba mnisaidie tatizo ni nn??
0 Reactions
2 Replies
625 Views
Mwanzoni nilikuwa naweza kutumia line yoyote ila lakini sasa inashindwa kudetect. Nifanye nini wadau ili niondokane na hili tatizo?
0 Reactions
2 Replies
886 Views
Wanna JF kwa waliotumia au wanaotumia simu ya Tecno P5 kuna tatizo nimekumbana nalo ,Mimi huwa nina Betri ya akiba nimeinunua mara ya kwanza inapoisha ninapobadilisha na kuwasha simu inawaka kwa...
0 Reactions
80 Replies
10K Views
za asubuhi wana gadgets,kuna hz videos zinazoandka hvy hlf znakataa kuplay ktk cm yng tecnop5,nizifanyaje ili zkubali
0 Reactions
4 Replies
897 Views
Kesho Vodacom inatimiza Miaka 20 ! Kwa kupiga *111*600# utapata 1GB Bure ! Na utaweza kudownload, ku stream na kupeluzi ! 20 years of Vodacom It’s our 20th birthday and all Vodacom subscribers...
2 Reactions
58 Replies
7K Views
Habari wana JF, kuna huduma nataka kuanzisha yani inakua hivi mtu anatakiwa kujiunga kwa kutuma neno fulani kwenda namba fulani e.g mapenzi to 15741 then akijiunga anakua anatumiwa meseji kila...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani wadau naomba msaada mimi natumia Tecno N 7 shida niliyonayo ni kuwa nashindwa kuangalia video katika You Tube..nikifungua you tube napata ujumbe kuwa "This app won't run without google...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana Jf naomba msaada wa printer hii kama inaweza kupatikana. Iwe espoo au brand nyingine tufanye Biashara.
0 Reactions
0 Replies
581 Views
Kuna ki-deck fulani hivi nilikachukua hivi majuzi ili nikatumie sehemu fulani katika mishe zangu lakini tatizo ni kwamba ukiweka USB na Adapter kanasoma Audio na Emage video haionyeshi.Sijui...
0 Reactions
2 Replies
781 Views
Wanajamvi nimewarudia tena kuwa Techno D1 zinausumbufu wa kimtandao
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waungwana naulizia bei ya Samsung S4 brand new kwa sasa ni shs ngapi?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
WADAU naombeni msaada wa kimawazo na ufundi pc yangu aina ya dell iliingia maji ikazima nikatoa hard disk na ram nikavikausha na nilivyo vitest kwenye pc nyingine vikawa vinafanya kazi vizuri, na...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Wadau naombeni msaada nilifanya transaction ya kununua simu katika aliexpress sasa kwenye shiping nikachagua DHL mana wao mzigo unafika kuanzia 4-8 days sasa cha ajabu yule seller ametuma mzigo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iko ktk hali nzur kabisa,imetumika miezi 2 tuu,inauzwa 270000 tuu,kama uko DAr unaweza kunitafuta kwa nambaa hii 07647065337
0 Reactions
0 Replies
555 Views
Back
Top Bottom