Unaweza kusikiliza badala ya ksoma kwa pdf file lolote kama unayo Adobe Reader 7.0 or 6.0, na shortct ni kama ifuatavyo:
Ctrl+shift+b - to hear the entire Document
Ctrl+shift+v - to hear the...
wakuu natumia window 8 ya softNN kwenye desktop yangu ya hp. Natumia program ya nokia pc suite ila wakati nachomeka simu yangu ambayo ni nokia asha 200 ili ni tumie kama usb...
Kwa watumiaji wa smartfne (android OS), kuna app moja inaitwa document to go hii app kazi yake ni kuweza ku type document katka mfumo wa MS WORD, MS EXCELL na MS POWERPOINT.
Kwa maana kwamb...
Msaada wanajf nataka nitumie decodor 1 ya DSTV kuangalia channel tofaut kwenye tv zaid ya 1,kwanza kabisa inawezekana?na kama inawezekana naomba basi nisaidiwe kueleweshwa jinsi ya kufanya ili...
Wakuu nimekwama nahitaji msaada wenu wa haraka ktk hili.External HDD yangu haisomi ktk Imac yangu.Mwanzo ilikuwa inaonekana though nilikuwa siwezi ku paste files toka Mac kwenda kwenye HDD na...
Local disk c kuoneka nyekundu kama imejaa! Kawaida huwa nna delete temp files, naondoa hybernated file inarudi fresh lakin baada ya muda mfupi tatizo larud tena je kuna permanent solution ya hii...
Habari zenu wana jamvi?
Kipindi cha nyuma kidogo mitandao ya sim ya TIGO na Vodacom walikuwa wanatoa line zenye uwezo wa 64K (Huwa zinaandikwa kwenye line) tofauti na siku hizi, line zao zote...
Torcache.net
It is one of the torrent caching sites that caches the popular torrent to make their download faster. It is in fact the one that only deals with the torrent caching unlike the zbigz...
Jmn naomben msaada kwenye hli ri program,
natumia adobephotoshop CS3 extended
na2mia kuEdit (background) picha hapa sasa nmeisha idrag ile pcha yangu kwenye background hucka, tatzo n kwamba ile...
Fellas Nafanya website/webapplication designing using PHP, HTML, na CMS kama Wordpress na Kidogo Joomla sasa hivi karibuni i was browsing the internet nikakutana na cms nyingine inaitwa TYPO3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.