Habari za wikiendi wanaJF. Kuna tatizo ambalo limejitokeza kwenye computer yangu, tatizo ambalo nimeshindwa kulipatia ufumbuzi kwa takribani siku ya tatu mpaka leo. Ni kwamba karibia icon zote...
wanajamvi, kwa anayejua
fundi mzuri wa kutengeneza
simu za blackberry, tatizo ni
simu iliingia maji ikazima,
haiwaki kabisa
Naomba kwa anayejua ani PM contacts
Kampuni ya Apple ni moja kati ya kampuni zenye kuwekeza katika utafiti na maendeleo ya bidhaa zao, masaa machache yaliyopita kampuni hiyo imepata haki miliki mpya ambayo itatumika kwenye iPhone za...
Habari
Swali ni kwamba kitendo cha ku Jailbreak IPad ina bad impacts kwenye IPad?
Kama zipo can u tell me some, na Kama zinaweza kuepukika au la, pia Kama kuna advantages zake pia naomba...
Hii simu inasumbua kwa upande wa battry na pia kila baada ya masaa mawili lazima uizime ili internet ifanye kazi
Kuna mtu amesha sikia jinsi ya kuondoa hilo tatizo la internet kutofanya kazi kila...
Wakuu habari.
Nimesikia sana hii kitu na kuona baadhi ya video YouTube lakini sijaelewa vizuri maana nilikosa wa kumuuliza.
Anaeweza nisaidia kidogo kunipa maelezo... Maana ata sijaelewa baada ya...
Wapendwa Nawategemea kwa hl pia....... hii cm yangu ninaitegemea kwa mambo meng(cna uwezo wa kununua nyngne)....nikiweka lain yoyote ya cm inagoma kuleta halama ya mtandao pale na hata nikiload...
Uvumi na minongono ni mambo ambayo hayaachani na kampuni ya Apple yenye makao makuu yake huko Cupertino. Baada ya uvumi kwamba Apple wangetoa televisheni mwaka huu kuanza kufifia, sasa hivi kuna...
nikiupdate os inatoa sms hii
APPLICATION LOADER WAS UNABLE TO CONNECT WITH YOUR DEVICE,PLEASE RE-CONNECT YOUR DEVICE,ENTER THE PASSWORD,IF REQUIRED, AND CLICK RETRY
nimejaribu kurudia mara...
Ubora
+ Ina Skrini yenye kuongoza duniani kwa ppi
+ Mnunuzi anapata 1TB ya Google Drive kwa miaka 3
+ Ina boot kwa wastani wa sekunde 8
Udhaifu
- Chrome OS bado ni ngeni kwa wengi
- Inatumika...
Nna bold 9780 v6.0.0.294, nikiangalia application management yake inaonyesha bbappworld imo lakini kwenye homescreenn siioni! Na ata kule kwenye app management ukitazama kwenye prop yake...
Wana JF laptop yangu imepoteza uwezo wa kuongeza au kupunguza brightness baada ya kubailisha window 7 home pentium, version ya microsoft office 2010 kwenda window 7 ultimate version ya 2007...
Jamani naomeni msaada katik bb yangu. mara ya kwanza ilikua inastaki. nikaiwaip ikawa inafanya kazi kama kawaida. sasa hvi imegoma kufanya kazi katika ile batani ya kati ya kusensi. sasa hivi hvi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.